Skip to main content

Posts

A Valedictory Message to the Mbeya University of Science and Technology (MUST)

CHALLENGES OF TRANSFORMING A TECHNICAL INSTITUTE  INTO A UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY A Valedictory Message to the Mbeya University of Science and Technology (MUST) Let me begin by thanking the appointing authority for the unique opportunity availed to me to serve as Chancellor of the Mbeya University of Science and Technology from April 2014 to December 1018. Furthermore I congratulate, most sincerely, Honourable Pius Msekwa and Honourable Zakia Meghji upon their appointment as Chancellor and Chairperson of Council, respectively. I wish them all the best in their new role as principal overseers of the University. Secondly, this address is meant to provide advice to the incoming leadership of the University based on the limited but exciting time I have had as the founding Chancellor of this young and emerging scientific and technological University. However, I am cautious about this prospect. For how can one offer advice to a veteran of higher education transf
Recent posts

UJUMBE WA TASIHILI (A VALEDICTORY MESSAGE) KWA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST)

UJUMBE WA TASIHILI (A VALEDICTORY MESSAGE) KWA CHUO KIKUU CHA     SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) Naanza kwa kuishukuru Mamlaka ya Uteuzi kwa kuniwezesha kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kuanzia 2014 mpaka 2018. Aidha nawapongeza, Mhe. Pius Msekwa na Mhe. Zakia Meghji, kwa uteuzi wao kuwa Mkuu wa Chuo, na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, mtawalia. Nawatakia kila la heri katika ulezi na usimamizi wa Chuo. Pili, ingawa nauita ushauri, kwa kweli ni ujumbe wa shukrani kwa Mamlaka ya Uteuzi na maelezo mafupi kuhusu uzoefu mdogo nilioupata nikiwa Mkuu wa Chuo Mwanzilishi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST). Kwani nitawezaje kutoa ushauri kwa Mkuu wa Chuo ambaye muda wake mrefu wa utumishi wake kwa Umma amekuwa katika maendeleo ya elimu ya juu, akiwa Makamu Mkuu Mwanzilishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maana hiyo MUST itafaidika pia kutokana na uzoefu na utumishi wa muda m

Grüße aus Matema Beach, Nyasa See, Tansania

Grüße aus Matema Beach, Nyasa See, Tansania Von Mark Mwandosya. 26. Oktober 2017 (Übersetzt von Heinke Schimanowski-Thomsen) Vorwort Im August 2017 hatte ich Gelegenheit zur Republik der Komoren Inseln zu reisen. Die Komoren bestehen aus 4 Inseln: Grande Comore (Ngazija), Anjouan (Nzuwani), Mohéli (Mwali) und Mayotte (Mahoré). Die Insel Mayotte steht weiterhin unter französischer Verwaltung solange bis  die Einwohner entscheiden, sich mit den anderen Inseln zu vereinigen. Die Komoren beanspruchen die Insel Mayotte als zu ihrer Einheit zugehörig. Ich und meine Familie besuchten 2 Inseln von diesen 4, Ngazija und Nzuwani. Als ich auf den Komoren war verfasste ich einen Brief, den ich „Grüße von den Komoren“ nannte und im Netz veröffentlichte. Viele Leute hatten Gelegenheit diesen Brief zu lesen. Einige von denen, zusammen mit Glückwünschen, rieten mir, so einen Brief über Tansania zu schreiben. Das war für mich eine Herausforderung. So einen Brief zu schrei